TAARIFA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2021.
HABARI ZA MUDA HUU: UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI ZAKIA MEGHJI UNAPENDA KUWAJULISHA WAZAZI WA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO HAPA SHULE KUWA. 1. SHULE ITAFUNGULIWA MNAMO TAREHE 05.07.2021, HIVYO WANAFUNZI WANAPASWA KUANZA KURIPOTI SIKU HIYO HADI TAREHE 16.07.2021 MWISHO WA KURIPOTI NA KUANZA VIPINDI RASMI. 2. MWANAFUNZI AFIKE NA MAHTAJI YOTE YALIYOORODHESHWA KWENYE FOMU YA KUJIUNGA. UONGOZI WA SHULE UNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA NA SAFARI NJEMA KARIBUNI SANA ZAKIA MEGHJI. KWA MAELEKEZO PIGA SIMU 0752252427 AU 0742771996